Ufafanuzi wa feleji katika Kiswahili

feleji

nominoPlural feleji

  • 1

    chuma cha pua kinachotumiwa kutengenezea upanga.

    ‘Upanga wa feleji’

Asili

Kar

Matamshi

feleji

/fɛlɛʄi/