Ufafanuzi wa feni katika Kiswahili

feni

nominoPlural feni

  • 1

    kifaa kinachozungushwa kwa umeme ambacho huleta upepo wenye ubaridi.

    pangaboi, panka

Asili

Kng

Matamshi

feni

/fɛni/