Ufafanuzi wa feruzi katika Kiswahili

feruzi

nominoPlural feruzi

  • 1

    kito cha thamani cha rangi ya samawati.

  • 2

    rangi ya samawati.

Asili

Kar

Matamshi

feruzi

/fɛruzi/