Ufafanuzi wa feuli katika Kiswahili

feuli

nomino

  • 1

    mahali pa kuweka mizigo au shehena chomboni; tumbo la jahazi.

Asili

Kar

Matamshi

feuli

/fɛwuli/