Ufafanuzi wa fichama katika Kiswahili

fichama

kitenzi sielekezi

  • 1

    jificha kwa kujibanza.

    fichika

Matamshi

fichama

/fit∫ama/