Ufafanuzi msingi wa fiche katika Kiswahili

: fiche1fiche2

fiche1

kivumishi

  • 1

    -liofichika; -sio bayana.

Matamshi

fiche

/fit∫ɛ/

Ufafanuzi msingi wa fiche katika Kiswahili

: fiche1fiche2

fiche2

kielezi

  • 1

    -liofichika; -siokuwa wazi.

Matamshi

fiche

/fit∫ɛ/