Ufafanuzi wa ficho katika Kiswahili

ficho

nominoPlural maficho

  • 1

    tendo la kuweka kitu au mtu mahali ambapo hataonekana kwa urahisi.

  • 2

    tendo la kusitiri aibu.

Matamshi

ficho

/fit∫ɔ/