Ufafanuzi wa fichua katika Kiswahili

fichua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa

  • 1

    dhihirisha kilichofichwa; onyesha kilichofichika ili kionekane.

    funua, futua, gundua, fundua

Matamshi

fichua

/fit∫uwa/