Ufafanuzi wa fifi katika Kiswahili

fifi

kivumishi

  • 1

    -enye thamani ndogo.

  • 2

    -enye kupoteza hali ya asili.

    hafifu

Matamshi

fifi

/fifi/