Ufafanuzi wa fifisha katika Kiswahili

fifisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa dhaifu.

Matamshi

fifisha

/fifiāˆ«a/