Ufafanuzi wa fikiria katika Kiswahili

fikiria

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    pima jambo kwa makini kwa kuchambua mambo yote yanayohusika.

    angalia, chukulia, dhamiria, hesabu, zingatia, dhani

Asili

Kar

Matamshi

fikiria

/fikirija/