Ufafanuzi wa fikisha katika Kiswahili

fikisha

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka kitu au mtu kwa anayehusika.

    ‘Fedha ulizonipa nimezifikisha kwa Juma’
    wasilisha

Matamshi

fikisha

/fikiāˆ«a/