Ufafanuzi wa finga katika Kiswahili

finga

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitendo cha kuzuia aina ya uhasidi, uadui au vita.

  • 2

    weka hadhari; zuia hasara au madhara.

Matamshi

finga

/finga/