Ufafanuzi wa finyo katika Kiswahili

finyo

nominoPlural mafinyo

  • 1

    mbano wa ncha za vidole; tendo la kufinya.

Matamshi

finyo

/fiɲɔ/