Ufafanuzi wa firauni katika Kiswahili

firauni, farao

nominoPlural mafirauni

  • 1

    jina la cheo cha wafalme wa zamani wa Misri.

  • 2

    mtu yeyote mwenye vitendo vichafu.

Asili

Kar

Matamshi

firauni

/firawuni/