Ufafanuzi wa firigisi katika Kiswahili

firigisi

nominoPlural firigisi

  • 1

    kiungo cha ndege kilichoko tumboni kinachosaga chakula.

    finingi

Matamshi

firigisi

/firigisi/