Ufafanuzi wa fisha katika Kiswahili

fisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~wa

  • 1

    ondoa uhai wa kitu.

    ua

  • 2

    zima nguvu au makali ya kitu.

    ‘Nani atakubali kwa urahisi maneno ya kufisha moyo namna hii?’

Matamshi

fisha

/fi∫a/