Ufafanuzi wa fisi katika Kiswahili

fisi

nominoPlural fisi

  • 1

    mnyama wa mwituni mwenye ukubwa kama wa beberu, ana rangi ya kijivu na anayeaminiwa kuwa ni mwoga na anayependa sana kula mizoga.

    bakaya

  • 2

    (ms) mtu mlafi.

Matamshi

fisi

/fisi/