Ufafanuzi wa fisidi katika Kiswahili

fisidi

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya uharibifu; fanya ubadhirifu; iba mali ya umma; tumia kwa njia mbaya.

    haribu, potoa

  • 2

    fanya ugomvi.

    fitini

Asili

Kar

Matamshi

fisidi

/fisidi/