Ufafanuzi wa fitinisha katika Kiswahili

fitinisha

kitenzi elekezi

  • 1

    chonganisha watu ili wagombane.

Asili

Kar

Matamshi

fitinisha

/fitiniāˆ«a/