Ufafanuzi wa foda katika Kiswahili

foda

nominoPlural foda

  • 1

    majani yaliyokaushwa kwa ajili ya chakula cha wanyama.

Asili

Kng

Matamshi

foda

/fɔda/