Ufafanuzi wa fokasi katika Kiswahili

fokasi

nomino

  • 1

    ulengaji wa kitu au mtu kwa kamera.

Asili

Kng

Matamshi

fokasi

/fɔkasi/