Ufafanuzi wa folio katika Kiswahili

folio

nominoPlural folio

  • 1

    karatasi moja kamili katika jalada la barua.

    waraka

  • 2

    kitabu chenye karatasi kubwa zinazokunjwa mara moja na kufanya karatasi mbili zenye kurasa nne.

Asili

Kng

Matamshi

folio

/fɔlijɔ/