Ufafanuzi wa fonimu katika Kiswahili

fonimu

nominoPlural fonimu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tamshi katika neno ambalo likibadilishwa na tamshi jingine maana ya neno hilo hubadilika au hupotoka katika lugha hiyo k.m. ‘sabuni’ na ‘zabuni’ hapa fonimu zinazotofautisha maana ni /s/ na /z/.

Asili

Kng

Matamshi

fonimu

/fɔnimu/