Ufafanuzi wa fonti katika Kiswahili

fonti

nominoPlural fonti

  • 1

    mtindo wa kuchapia herufi za ukubwa mbalimbali kulingana na mahitaji.

Asili

Kng

Matamshi

fonti

/fɔnti/