Ufafanuzi wa foronya katika Kiswahili

foronya

nominoPlural foronya

  • 1

    mfuko wa kitambaa wa kutilia k.v. mto au godoro.

Asili

Kaj

Matamshi

foronya

/fɔrɔɲa/