Ufafanuzi wa fosi katika Kiswahili

fosi

nominoPlural fosi

  • 1

    mwendo wa haraka.

    ‘Mlitoka kwa fosi, angalia sasa mmeshindwa’
    kasi, nguvu, mabavu

Asili

Kng

Matamshi

fosi

/fɔsi/