Ufafanuzi wa fotokopia katika Kiswahili

fotokopia

nomino

  • 1

    mashine ya kutolea vivuli vya nakala za maandishi, picha au michoro.

Asili

Kng

Matamshi

fotokopia

/fɔtɔkɔpija/