Ufafanuzi wa fua maji katika Kiswahili

fua maji

  • 1

    toa maji katika chombo k.v. jahazi au dau kwa upo.

    kumba

  • 2

    futa maji yaliyomwagika chini kwa tambara, gunia au kitu kingine.