Ufafanuzi wa fuasa katika Kiswahili

fuasa

kitenzi elekezi

  • 1

    iga

  • 2

    andama, fuata, fuatia, ambatana

Matamshi

fuasa

/fuwasa/