Ufafanuzi wa fuata nyayo katika Kiswahili

fuata nyayo

msemo

  • 1

    fuatiliza mwenendo wa aliyekutangulia.