Ufafanuzi wa fuatana katika Kiswahili

fuatana

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    enda pamoja.

    ‘Ali na Juma wanafuatana kila mahali’
    ongozana

Matamshi

fuatana

/fuwatana/