Ufafanuzi wa fuatia katika Kiswahili

fuatia

kitenzi elekezi

  • 1

    enda nyuma ya mtu au kitu.

    andama, geza, ambatana, fuasa

Matamshi

fuatia

/fuwatija/