Ufafanuzi wa fuatilia katika Kiswahili

fuatilia

kitenzi elekezi

  • 1

    chunguza jambo ili kufahamu linavyofanyika au hatua iliyofikiwa ya kulifanya.

    ‘Nitafuatilia barua yako’

Matamshi

fuatilia

/fuwatilija/