Ufafanuzi wa fudifudi katika Kiswahili

fudifudi, kifudifudi

kielezi

  • 1

    kwa tumbo kuwa chini, mgongo juu.

    ‘Lala kifudifudi’

Matamshi

fudifudi

/fudifudi/