Ufafanuzi wa fufua katika Kiswahili

fufua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lika, ~liwa, ~sha

 • 1

  rudishia uhai kiumbe kilichokufa.

  baathi, hui, huisha

 • 2

  anzisha upya kilichokuwako kisha kikasahaulika.

  ‘Fufua deni’
  ‘Fufua desturi’

Matamshi

fufua

/fufuwa/