Ufafanuzi msingi wa fuka katika Kiswahili

: fuka1fuka2

fuka1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iza

  • 1

    toa moshi.

Matamshi

fuka

/fuka/

Ufafanuzi msingi wa fuka katika Kiswahili

: fuka1fuka2

fuka2

nominoPlural fuka

  • 1

    uji mwepesi unaopikwa kwa mchele, sukari, asali, pilipili manga, n.k. na ambao hupewa mwanamke baada ya kujifungua.

Matamshi

fuka

/fuka/