Ufafanuzi wa fukarika katika Kiswahili

fukarika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa fakiri; kuwa maskini.

Matamshi

fukarika

/fukarika/