Ufafanuzi wa fukarisha katika Kiswahili

fukarisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya fakiri; fanya kuwa fukara.

Matamshi

fukarisha

/fukariāˆ«a/