Ufafanuzi wa fukia katika Kiswahili

fukia

kitenzi elekezi

  • 1

    jaza shimo kwa kutia udongo.

    tutia

  • 2

    ficha ardhini.

Matamshi

fukia

/fukija/