Ufafanuzi wa fukiza katika Kiswahili

fukiza

kitenzi elekezi

 • 1

  tapakaza moshi wa manukato k.v. katika chumba au nguo ili kupata harufu nzuri.

  ‘Fukiza udi’
  ‘Fukiza ubani’
  ‘Fukiza nguo’

 • 2

  fanyia dawa mgonjwa.

Matamshi

fukiza

/fukiza/