Ufafanuzi msingi wa fukizo katika Kiswahili

: fukizo1fukizo2

fukizo1

nomino

  • 1

    tendo la kufukiza.

  • 2

    dawa anayofukizwa mgonjwa.

    mafusho

Matamshi

fukizo

/fukizÉ”/

Ufafanuzi msingi wa fukizo katika Kiswahili

: fukizo1fukizo2

fukizo2

nomino

Matamshi

fukizo

/fukizÉ”/