Ufafanuzi wa fukuto katika Kiswahili

fukuto

nomino

 • 1

  jekejeke
  , → vuguto
  , → hari
  , and → mwako

 • 2

  mwasho wa ndani ya mwili.

  jakamoyo, wasiwasi, mfadhaiko, muwako

Matamshi

fukuto

/fukutÉ”/