Ufafanuzi msingi wa fuma katika Kiswahili

: fuma1fuma2fuma3

fuma1

kitenzi elekezi

  • 1

    tengeneza kitambaa kwa kusokota nyuzi.

  • 2

    piga au choma kwa mkuki, mshale au kitu chenye ncha kali.

Matamshi

fuma

/fuma/

Ufafanuzi msingi wa fuma katika Kiswahili

: fuma1fuma2fuma3

fuma2

kitenzi elekezi

  • 1

    kuta au ona kwa ghafla au bila ya kutazamia.

    gundua

Matamshi

fuma

/fuma/

Ufafanuzi msingi wa fuma katika Kiswahili

: fuma1fuma2fuma3

fuma3

kitenzi sielekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kupwa.

    ‘Maji yafuma’
    pwa

Matamshi

fuma

/fuma/