Ufafanuzi wa fumania katika Kiswahili

fumania

kitenzi elekezi

  • 1

    kuta mtu kwa ghafla wakati anapotenda kitendo kibaya.

  • 2

    kuta mtu kwa ghafla akizini hasa na mke au mume wa mtu.

Matamshi

fumania

/fumanija/