Ufafanuzi wa fumanizi katika Kiswahili

fumanizi

nominoPlural fumanizi

  • 1

    hali ya kumkuta mtu kwa ghafla akitenda jambo baya.

  • 2

    chakula kinachokutwa na mtu kikiliwa.

    ‘Sili fumanizi sili chakula nilichokikuta watu wakila bila ya kuwa nimealikwa’

Matamshi

fumanizi

/fumanizi/