Ufafanuzi wa fumbatio katika Kiswahili

fumbatio

nominoPlural mafumbatio

  • 1

    tumbo la binadamu.

Matamshi

fumbatio

/fumbatijɔ/