Ufafanuzi wa fumbato katika Kiswahili

fumbato

nominoPlural mafumbato

  • 1

    kiganja cha mkono kilichofumbwa.

  • 2

    kipimo kinachojaa kiganja cha mkono kilichofumbwa.

    methali ‘Fumbato haliumizi mkono’

Matamshi

fumbato

/fumbatÉ”/