Ufafanuzi msingi wa fumbo katika Kiswahili

: fumbo1fumbo2

fumbo1

nomino

 • 1

  maneno yasiyojulisha maana waziwazi.

 • 2

  jambo lisilojulikana hakika yake.

 • 3

  kitu chochote kilichofichwa ili kisijulikane kwa urahisi.

  ‘Jina la fumbo’
  ‘Piga fumbo’
  siri, methali, kitendawili

Matamshi

fumbo

/fumbÉ”/

Ufafanuzi msingi wa fumbo katika Kiswahili

: fumbo1fumbo2

fumbo2

nomino

 • 1

  cheo cha kiongozi.

Matamshi

fumbo

/fumbÉ”/