Ufafanuzi wa fumua katika Kiswahili

fumua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  tenganisha nyuzi zilizofumana au kufumwa.

 • 2

  tenganisha nywele zilizosukwa.

  shonoa

 • 3

  chomoa au toa.

  ‘Fumua uzi’
  ‘Fumua paa’

 • 4

  ‘Fumua ngumi’
  piga

Matamshi

fumua

/fumuwa/